Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

Status
Not open for further replies.
Mimi huwa siongei sana ni mwendo wa MA PHOTO full evidence
haya sasa AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA.
Kipi bora kuchukua SAMAKI kwa MVUVI au kuchukua NYAVU yake ?

Hivi huyu Mbuzi au kuku huyu maskini angebaki naye na wewe kupewa mayai au maziwa huoni kuwa ingekuwa busara zaidi?
13.+Kinana+akikabidhi+Mbuzi+kwa+nahodha+wa+timu+ya+Libenenga,++Steven+Maundu.+Kulia+ni++bdallah+Mazengo+wa+Nkongo+FC+iliyofungwa+2-0+Kinana+Cup,+Ulanga.jpg

817.jpg
 
Kwetu makete watu kama wewe tunawaita mamburura. Hivi hujui kuwa CHADEMA ni chama cha watu. Hujui kuwa hata TANU ilichangiwa wakati wa kutafuta Uhuru. Ila na wewe point zako zinatutapishaga sana.
Ulimwafu kwali.
 
Jamani kwani hizo zilizochangishwa Iringa ni pesa za kampeni ya UCHAGUZI? mbona muda bado?
Au ni pole ya kukosa posho za bunge siku tano?
 
Hizi ni njia zisizo za kifisadi za kiukombozi...wapo waliomchangia Mwalimu na hawakupewa hata risiti wala mchanganuo wa mahesabu ila wanajifuna sana tena sana kwa KUIKOMBOA TANZANIA.........watu wa IRINGA watajivunia michango waliyotoa siku moja!

'
 
Wewe jamaa bonge la mnafiki kila siku unasema hauna chama saizi unamshambulia Lukosi wewe unadhani maisha yako yatakuwa mazuri kwa kumtegemea Dr Slaa na Mbowe.

Unadhani kuongoza nchi ni sawa na kuongoza ukumbi wa disco au danguro.
Mkuu Ritz kwa hiyo kuongoza nchi ni kuiba na kukomba kila kitu,kuficha fedha zetu Uswiss?? FAST JET, EPA, RICHMOND, DOWANS( nasikia wameanza kulipana fedha za TANESCO) kuuza Loliondo, kuuza Buzwagi, Kahama mine??? Hiyo ndiyo kuongoza nchi au vipi, fisadi mkubwa wewe unalipiwa Lumumba, unashinda kwenye mahoteli makubwa( Mwampamba na Shonza staili)???

Natamani siku moja nimuone huyu jamaa anaitwa Chris. Serikali pamoja na kodi zote wanazokusanya kwa watanzania wote baado tunamuona JK akihaha huku na kule. Unaona CDM chama kinachojijenga tu hii nomaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

Tutazidi kuchangia chama chetu na hatuhitaji mtu wa kutuamlia mambo ya ndani ya CDM.

Mbona CCM wanachangisha wafanyabiashara huko mitaani kuisaidia???? Nani anauliza???

Tunashukuru angalau umejivuta na kusimama ili kusema neno!

Kujaribu kuponda bandiko la Chris Lukosi kama halina mantiki ili kuwaonyesha wachache kama alichokisema hakina ukweli au hajui anachokisema halafu hapo hapo ukaanza kujaribu kumjibu ni kujichanganya katika hoja ya kile unachotaka kutuaminisha.

HOJA MBADALA KAMA HII HUWEZI KUZIJIBU KWA POLITICAL SPINNING kwa maana kwamba, kutuambia kama kuna waziri aliwapigia simu kuwapongeza bila hata kumtaja jina ni kutaka kuuaminisha umma kama majibu yako unayoyatoa hapa niya kweli wakati ulichokijibu kinaacha maswali mengi zaidi ya majibu.Kama kweli unasimama na ukweli unaojengwa na siasa za uwazi kama unavyodai, MTAJE JINA HUYO WAZIRI KUDHIBITISHA KAMA UNACHOKISEMA NI KWELI. Kutokufanya hivyo, ni kuonyesha mwendelezo wa haya ambayo Chris Lukosi anajaribu kuyaainisha ambayo ni siasa za aina ya karata tatu.
Lukosi
CHADEMA ni chama pekee ambacho kimekuwa kikirudia mara kadhaa, kwa uwazi kuwaambia Watanzania na hasa wanachama wake, kiasi cha ruzuku wanayopata kila mwezi na matumizi yake. Taja chama kingine chochote hapa nchini chenye uthubutu wa namna hiyo... Hakuna. Nikusaidie Chris Lukosi, ungeonekana mtu makini kweli kweli, iwapo ungehoji accountability ya michango hiyo, badala ya hoja nyepesi ulizoandika hapa.

Yupo waziri mmoja kwenye serikali yenu hii inayoshindwa chini ya chama kinachoanguka, alishindwa kuvumilia na kujizuia kupiga simu kuwapongeza viongozi wa CHADEMA kwa namna wanavyoungwa mkono, kiasi cha wananchi kukimbilia maboksi kuweka michango yao na kuweka mikono yao kwenye masanduku hayo, kuombea M4C. Ilikuwa ni wakati wa uzinduzi wa M4C, pale Jangwani Dar es Salaam.

"Hali ya namna hii, wananchi kujiyoa kiasi hiki kwa ajili ua maisha yao, ilionekana wakati wa Mwalimu Nyerere na TANU pekee," alisema waziri yule.
 
Bora hata huyu, Embu fananisha hizi picha mbili uone tofauti.
Jinsi mulivyo MAFISADI na ROHO MBAYA, mangawa BUKU BUKU wenzenu wangawa kwa MAGUNIA.
8.jpg

c2fb1c3ba6e1df0d2f0f6a706700d3af.jpg

this photo taken on Saturday, April 20 2013 and released by the Uganda Presidency, Uganda's President Yoweri Museveni, left, and State Minister for Youth and Children Affairs Ronald Kibuule, center, hand over what the president's office said was a sack of money containing 250 million Ugandan shillings - about $100,000 - to an unidentified member of a partisan group of youths, right, in Kaliro district east of the capital Kampala, in Uganda. It's become an infamous photo in Uganda. The country's leader looks on in bemusement as a young man bends low to carry a sack filled with a donation from the president _ almost $100,000 in cash. The money is a donation from President Yoweri Museveni to a partisan group of youths in eastern Uganda, where he struggles to win votes in national elections, and activists and opposition politicians are seizing upon the moment as a blatant example of political corruption in Uganda. The picture, which was distributed by the president's office after the event last weekend, was meant to highlight Museveni's generosity toward a group of youth. Instead it has focused attention on Museveni's profligacy during political tours and what some say is his role in fueling graft in the East African country that he has led since 1986. (AP Photo/Uganda Presidency) less
 
Yes, kuwa successful business man katika project mbali mbali lazima uwe na kitabu cha mahesabu na ufahamu nini maana ya debit & credit. Kwani hujui wahenga walisema mali bila daftali hupotea bila mwenye mali kuwa na taarifa.

Liko wapi hilo daftali la mali inayochangwa kwa hii project?.tuombe daftari hilo huko ccm maana hata tangu uhuru mnatoza kodi mpaka maiti mbona hamjawahi kuonesha mfano?

Hata kama ni mradi binafsi, lazima uwe na daftali kama ilivyo kwa Democratic ya President Obama.

Kama isivyojulikana kwa majina kwa wale wanaochangia hii project ya CHADEMA na isiwe ndiyo sababu ya kutokuwa na daftali.

This is just small ask but very important
mbona hamjawahi kuonesha huo mfano wa daftari la ni wapi ridhiwani katoa hela ama lowassa babayenu ambaye anagawa hela kama njugu? eti
 
Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
scam.jpg

JITAMBUE!
Haaa HIVI KWELI mbona tunapalangana bureeee huyu sio yule Mwampamba na Shonza project????? Mbona naona kama ni yeye???

mbona hamjawahi kuonesha huo mfano wa daftari la ni wapi ridhiwani katoa hela ama lowassa babayenu ambaye anagawa hela kama njugu? eti
Hili ndiyo pure jibu la ki-BAVICHA BAVICHA.

Kwa hiyo kama hawafanyi hivyo na nini ndiyo mnawaiga kutofanya hivyo. Like father, like son
 
Ni bora wanaochangiwa mapato kwaajili ya kukombolewa kifikra,kisiasa,n.k.
Kuliko wanaopora vyanzo vya mapato na kutukandamiza kifikra,kiuchumi,kisiasa,n.k
Wakoloni walipora rasilimali zetu na kuwasomesha baadhi ya waTZ kama vile watoto wa Machief waliokuwa upande wao, kama leo hii Wakoloni weusi/CCM Wanavyopora haki zetu na kuwapelekea wakoloni wenzao ughaibuni ili wao wapate Suti,kuenda kubembea,watoto wao wapate scholarship n.k kama walivyofaidi machifu waliokuwa wakitusaliti.
Lakini Chadema ni kama TANU Walivyokuwa wakichangiwa na waTZ wazalendo ili kufanikisha UKOMBOZI.
 
Wewe mjinga sana..hivi kwa akili hizi ndio unategemea kwenda kupambana na Kamanda Msigwa? Hivi mwaka 2010 ile program ya CCM kuchangia kwa SMS ilikuwa ni nini?
 
Nilishasema ---- hata umpeleke new york atabaki kuwa ---- tu..chris lukosi yaani pamoja na kuishi nje bado una fikra mgando kiasi hiki!..wale wamechangia kwa hiari...hadi aibu imekushika..ndio tatizo la kuvamia siasa juu kwa juu,cheki ulivyo nyweya kwa kuanzisha hoja dhaifu kama hii,inaonyesha uelewa wako ni mdogo sana kwenye nyanja za siasa..umeingia kwenye siasa kuilinda biashara yako.pole siku nyingine jipange ndugu.
 
jamani wenye mawasiliano na Dr A. Paurine, mpeni taarifa kuwa tatizo limeibuka tena na safari hii inaonekana limekuja wa kasi zaidi
Ndugu zanguni

Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai msigwa inabidi aendelee na kampeni kwa sasa kwani amekalia kuti kavu hivyo inabidi kila mwezi lazima apige mkutano mmoja au miwili kuwabembeleza wanyalu.

Jambo lililonishangaza ni kuona wakati mkutano unaendelea Dr Slaa alisimama na kuwaomba wananchi wachange hela za mafuta.

Naomba niwaulize maswali yafutayo;

Kama kweli unataka kuwasaidia wananchi inakuwaje unwaomba hela wakati unajua hawana?

Chadema wanachukua ruzuku serikalini hela ambayo ndio ilitakiwa itumike kukijenga chama ziko wapi?

Kama kweli wabunge wana uchungu na wananchi ni kwa nini wasitumie posho zao kununua mafuta?

Kama kweli wabunge wa chadema wana machungu kwa nini wamenunua magari yenye injini kubwa yanayokunywa mafuta mengi? si wange tumia Nissan micra au Toyota Vitz zenye injini ndogo? ili wasiwe wanawaomba omba wanachi hela ambao tayari wao wanahitaji msaada wao?

Chadema kuweni na huruma kwa wananchi, msiwafanye wananchi mitaji. Wananchi walaiwasaidia wakati wa kampeni kwa hiyo sasa ni wakati wa nyinyi kulipa sio kuomba omba miaka yote.
 
mkuu ukweli umekaa nje umejifunza mengi sana kibiashara, siasa lakini inaonekana mkuu bado hujakomaa vizuri kabisa uko sawa kabisa na yule mtoto wa yule kigogo alierudi kutoka usa kabla hujaleta hoja nafikiri uangalie mazingira gani ya kuandika sio kujaza post tu. nikukumbushe tu kipindi kikwete anagombea uraisi ccm walikuwa wanapewa ruzuku au ndio imeanza leo kuona chadema wanachangisha nyie imeanza kuwauma? kwa kumbukumbu zangu 2005 ccm ilichangisha pesa mwanza 350m mbeya 280m na mikoa mingine kibao tena wafanyabiashara walikuwa wanalazimishwa na ninakumbuka kuna mfanyabiashara mmoja pale mwanza ana guest house maarufu inaitwa shinganya guest yeye mwenyewe alijitolea 40miilion wakati ana wake zaidi ya 15 na watoto zaidi ya 30 watoto wengine hata shule hawajaenda ujinga huo, badilika mkuu hata kama uko ccm leta hoja ya kutujenga kama nchi nasio kutugawa kisiasa hii ni mbaya sana, imarisha customer services ya biashara yako mkuu hiyo ndio nguzo ya maisha yako hizi siasa zinapita tu watakuja wengine watakutupa kama mpira wa mapenzi. JITAMBUE
 
Back
Top Bottom