tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 494
Yaani huu ndiyo udhaifu dhahiri wa serikali yetu.. Hivi inatokeaje mtu mmoja akajitangazia mambo ambayo kiuhalisia hayatekelezeki..
Hapa kuna uonevu mkubwa sana juu ya madereva.. Udereva ni fani kama fani zingine.. Mbona hawajatangaza madaktari nao warudi vyuoni kwa sababu vifo vya wagonjwa vimeongezeka??
Mbona haiwambii walimu warudi vyuoni kwa sababu ufaulu kila siku unashuka..
Mbona haiwaambii wachumi warudi vyuoni kwa sababu uchumi kila siku unadorora??
Tuwe wakweli.. huu ni uonevu wa dhahiri.. Yaan Serikalini kila mtu anatafuta deal la kufanya ili apate fedha..
This is shame!!!

huyo mkuu wa chuo katumwa na hiyo hiyo serikali ajashauriwa na mkewe ndio maana serikali haikukana hilo tamko na hata madereva walipotangaza mgomo siku 7 nyuma serikali haikuweka mambo sawa kwa kusema sio tamko lao
#Zitto

Serikali dhaifu kila kitu ni dhaifu wanawaza deal tuYaani huu ndiyo udhaifu dhahiri wa serikali yetu.. Hivi inatokeaje mtu mmoja akajitangazia mambo ambayo kiuhalisia hayatekelezeki..
Hapa kuna uonevu mkubwa sana juu ya madereva.. Udereva ni fani kama fani zingine.. Mbona hawajatangaza madaktari nao warudi vyuoni kwa sababu vifo vya wagonjwa vimeongezeka??
Mbona haiwambii walimu warudi vyuoni kwa sababu ufaulu kila siku unashuka..
Mbona haiwaambii wachumi warudi vyuoni kwa sababu uchumi kila siku unadorora??
Tuwe wakweli.. huu ni uonevu wa dhahiri.. Yaan Serikalini kila mtu anatafuta deal la kufanya ili apate fedha..
This is shame!!!
Wana JF hii story sio kweli ni changa la macho tu huyo mkuu wa chuo anaujasiri gani mpaka atangaze hayo?
Wizara ni lszima ina mkurugenxi wa mafunxo ambapo idara vyuo vyote vina ripoti kwake.Yaani huu ndiyo udhaifu dhahiri wa serikali yetu.. Hivi inatokeaje mtu mmoja akajitangazia mambo ambayo kiuhalisia hayatekelezeki..
Hapa kuna uonevu mkubwa sana juu ya madereva.. Udereva ni fani kama fani zingine.. Mbona hawajatangaza madaktari nao warudi vyuoni kwa sababu vifo vya wagonjwa vimeongezeka??
Mbona haiwambii walimu warudi vyuoni kwa sababu ufaulu kila siku unashuka..
Mbona haiwaambii wachumi warudi vyuoni kwa sababu uchumi kila siku unadorora??
Tuwe wakweli.. huu ni uonevu wa dhahiri.. Yaan Serikalini kila mtu anatafuta deal la kufanya ili apate fedha..
This is shame!!!
Mkuu hiyo ni dili Polisi, NIT na Sumatra. Dereva mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 anajifunza nini cha ziada? Kikubwa ni kuchange attitude ambayo kamwe haiwezi kubadilishiwa shule na pia kupanua na kukarabati barabaraMbona hawaambii Polisi warudi CCP Kwa ajili wanaporwa silaha kila kukicha.