Tetesi: Inasemekana Bunge la Tanzania limekosa mwelekeo

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,453
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti, wanasema Bunge letu kwa sasa halijui wajibu wake, wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani, wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo, hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.

Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.
 
Watu mbalimbali na kwa nyakati tofauti,wanasema bunge letu kwasasa halijui wajibu wake,wabunge hawajui wahoji nini na hawajui wamwajibishe nani,wamekua ni watu wa kutoka nje na kusema ndiyo,hata hivyo wabunge wengi hawajui wananchi wao wanataka nini.

Mpaka sasa wabunge wasasa hawana uhakika kama watashinda ubunge msimu ujao mana wananchi wao hawana hamu nao kabisa.
Tuanzie na hapa sisi (wewe) wananchi tunataka nini? Maana kama hatujawaambia hao Wabunge hawatajua tunataka nini.

1....
 
Bunge halijakosa mwelekeo; ila limebadilisha mwelekeo. Badala ya kuisimamia serikali, sasa liko bize kudhibiti UKAWA. Huu ni mwelekeo mpya ambao yule jamaa wa Korea Kaskazini aitwaye Kim Jon Guful anaupenda sana.:D:D:D
Unadhibitije kitu kilichokufa?
Hivi kikao cha UKAWA mwisho wake ilikuwa ni lini?
 
Bunge halijakosa mwelekeo; ila limebadilisha mwelekeo. Badala ya kuisimamia serikali, sasa liko bize kudhibiti UKAWA. Huu ni mwelekeo mpya ambao yule jamaa wa Korea Kaskazini aitwaye Kim Jon Guful anaupenda sana.:D:D:D
Hahaha
 
Sijamtuma chochote maana sijawahi kukutana naye na hata akiitisha mkutano yeye ndiye mzungumzaji na wananchi ni wasikilizaji
Hatari sana....ndo hayoo..mbunge anafanya yake tofauti na matakwa ya wananchi
 
mi sijaonana naye toka kamaliza kampeni sasa nitamtumaje?
wewe je wako umemtuma nini ili niigilizie siku nikikutana naye?
Hajawahi kurudi jimboni toka kampeni ziishe...ila wakati wa kampeni tulimwambia akazungumzie kuhusu pembejeo
 
Bunge halijakosa mwelekeo Ila limebadili mwelekeo.Badala ya bunge kuicmamia serikali sa hivi inafanya kaz ya kutekeleza maagizo yatolewayo na Boss.
Mawaziri nao wameufyata wizara zmebaki zikisimamiwa na PhD ya Yohana Wine, kila abiria anafany kaz kumfurahisha dreva wake acje akashushwa njiani.
Njaa za walio wengi zmehamia kichwani hata wasomi wanaruhusu taaluma zao zbakwe.
 
Back
Top Bottom