Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,129
- 9,678
Epstein's island.Kuna nyaraka za siri zimevuja.
Zinadai Jeffrey Epstein yuhai ni mzima anaendelea kula maisha maafichoni.
Nyaraka hizo zinadai, Epstein kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa, alitoroshwa jela na kupelekewa mafichoni huko Marekani ili kupunguza minong’ono.
Kisha dunia ikatangaziwa Epstein amejinyonga akiwa jela mwaka 2019.
Nyaraka hizo zimevuja kipindi hiki ambapo uovu mwingi kuhusu Epstein na watu maarufu wa dunia akiwamo Trump mafaili yao kuanza kuanikwa wazi kwa umma.
Zile zile za kanumba kaonekana Tabora 😁Ndo zilezile za 2Pac kuonekana Cuba zipuuze hizo tetesi
Kwahiyo Trump kaliwa na Clinton?Mafile ya wakubwa yote yapo, Jamaa walikuwa wanarikodi na kutunza kumbukumbu, yaani dunia imejaa wabakaji watoto, wafiraji na wagonjwa wa akili, kina Prince Andrew na wenzie, just imagine think tank ya Marekani kina Thiel. Unaweza ukawa na pesa halafu kumbe huna utu ila unajifanyisha Tu kuwa ni mwema nk ndo kinachowakuta kina Bill gates...Epstein files imefungua watu macho Sana, halafu Eti wanapigia wenzao kina Rusia, China ni madikteta wakati wao ndo wale wale...Hii dunia mwenye nguvu ndiye atakaye tawala.
Kuna nyaraka za siri zimevuja.
Zinadai Jeffrey Epstein yuhai ni mzima anaendelea kula maisha maafichoni.
Nyaraka hizo zinadai, Epstein kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa, alitoroshwa jela na kupelekewa mafichoni huko Marekani ili kupunguza minong’ono.
Kisha dunia ikatangaziwa Epstein amejinyonga akiwa jela mwaka 2019.
Nyaraka hizo zimevuja kipindi hiki ambapo uovu mwingi kuhusu Epstein na watu maarufu wa dunia akiwamo Trump mafaili yao kuanza kuanikwa wazi kwa umma.
Madogo huwa wanapenda hizi stories sana wakishiba ugali na maharagwe wakashushia na visungura basi utakuta ndo stories zao.Ndo zilezile za 2Pac kuonekana Cuba zipuuze hizo tetesi
Epstein kwenye moja ya mafaili Yake anasema "Nimekutana na watu wengi wabaya lakini hakuna aliyemzidi Trump Kwa ubaya"....Trump anaonekana ana mambo mengi ya kando, machafu.Kwahiyo Trump kaliwa na Clinton?
Aiseee 😁😁Epstein kwenye moja ya mafaili Yake anasema "Nimekutana na watu wengi wabaya lakini hakuna aliyemzidi Trump Kwa ubaya"....Trump anaonekana ana mambo mengi ya kando, machafu.
HUU UONGO WA KITOTO MNADANGANYANA MADOGO KAMA MIAKA NA MIAKA MNASEMA TUPAC YUPO HAI. MKIKOSA CHA KUSIMULIANA NDO MNAKUJA NA HAYA MAPIGO
tal abib tal abib allah akbar samaleko.Hii issue ya Epstein,wale wamarekani weusi wa Nzega na Nanjilinji,wanaipita kama vile wanaaga maiti.
🤣🤣🤣Hii issue ya Epstein,wale wamarekani weusi wa Nzega na Nanjilinji,wanaipita kama vile wanaaga maiti.