Inapendeza sana Mtanashati Waziri Mkuu akisalimiana na wananchi wa kijijini kwake Nandagala

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
1,439
Points
2,000

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
1,439 2,000
Daaa! mshikaji kaniacha hivi hivi! tuliishi wote pale Malili 5, tukachapwa viboko wote na Mr kizo, mpaka Kimaro alichapwa na mwili wote ule!

Hapa ndiyo aliiga ile tabia hii ya kuwachapa walimu, Daaa ila alikuwa poa sana mshkaji yaani km alivo, but hakuwai kuwa kiranja huyu jamaa! wala kuwa na Demu, alikuwa Dent wa kawaida sana!

Navoona huyu atakuwa Rais- waziri mkuu wa kwanza 2025, nani anabisha?
Chui Gutti anajua hii ma-vitu!

Mkuu tukumbukane bana!
 

Forum statistics

Threads 1,382,379
Members 526,359
Posts 33,825,966
Top