Inapendeza sana Mtanashati Waziri Mkuu akisalimiana na wananchi wa kijijini kwake Nandagala

Ndio Siasa

Hata mliomkodisha kugombea Urais 2015 alitoka Masaki akaenda Tandale Soko la Ndizi kwa 'Rafiki zake' kina Mama akanywa uji wa Mchele kwa Kikombe kile kile anachokunywa 'juma Mlevi' kikiwa kimetoka kuoshwa Kwenye beseni la Mimaji michafu

Halafu mlivyokuwa Wahuni mkakataa kulinda kura zake mita 200

Wahuni sio watu wazuri
 
Aiseee
 
Waziri kuu, Kassim Majaliwa amekutana na kusalimiana na Wananchi kijijini kwake Nandagala Wilayani Ruangwa mkoani Lindi

Ila kwa hii staili ya kutokuvua viatu wakati wenzako wamevua kandambili halikupendeza. Wenzako wameheshimu kikalio chao weye wakikanyaga na viatu!
1552744288937.png
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom