Inapendeza sana Mtanashati Waziri Mkuu akisalimiana na wananchi wa kijijini kwake Nandagala

Hizi picha muwe mnaangalia na angle ya kuzipiga wajameni

Screenshot_20190316-194216_1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa Kenyatta ungeambiwa kiongozi wa watu ila kwa Ni Majaliwa utaambiwa Ni mwanasiasa kwa hiyo yupo kwenye jukwaa lake la sanaa
 
Back
Top Bottom