Kwa alie maliza mwaka huu na mwaka jana uhakika wa kupata ni 100% lakini zaidi ya hapo ni bahati tu.
vp unaongea kwa uzoefu?au we ni nan heslb?
Kwa alie maliza mwaka huu na mwaka jana uhakika wa kupata ni 100% lakini zaidi ya hapo ni bahati tu.
sio kichwa maji ila unajifanya kichwa maji! tukipangw chuo kimoja x poa 2, utakuw kaka angu au vp?
Jaman mie nimekosa tena chuo inabid niapply 3rd round mwsho 30th ila kila nikifungua web ya tcu inakataa nisaidie nifanyaje na nimefaulu vzur tu..naomben mnisaidie jinc ya kuapply
kweli eeh..!
wew tena!
pamoja sana dada angu mi kaka yako sawa mdogo wang au sie mapacha..!
mi dada ako
si kweli.....heslb hawatoi majina mpk tcu wawasilishe list ya waliochaguliwa....then majina yawasilishwe wizarani ili ijulikane idadi ya waomba mkopo....kumbuka mwaka huu kuna prior na non prior course hivyo selection ya vyuo ndio funguo ya mkopi
mgpga msul ndo nan?
muitie
Mnamuita nani?
Mpigamsuli kaenda kijijini