Inapakia......Inapakia

Status
Not open for further replies.
Jaman mie nimekosa tena chuo inabid niapply 3rd round mwsho 30th ila kila nikifungua web ya tcu inakataa nisaidie nifanyaje na nimefaulu vzur tu..naomben mnisaidie jinc ya kuapply
 
mbona leo inafunguka wangu!
 
Daah nimelichoka jina la tcu tayari...ngoja nisubirie hilo jina la heslb
 
si kweli.....heslb hawatoi majina mpk tcu wawasilishe list ya waliochaguliwa....then majina yawasilishwe wizarani ili ijulikane idadi ya waomba mkopo....kumbuka mwaka huu kuna prior na non prior course hivyo selection ya vyuo ndio funguo ya mkopi
 
watu washachaguliwa ww,tcu hawana jipya wanatusumbua tu na maprofile yao,kuanzia leo si log in tena.nasubiri web ya udsm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom