Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana
Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa X lakini pia akaruhusu maudhui ya ngono hata za ulawiti
X ni alama ya utambulisho wa ponografia kwa mujibu wa lugha ya kihuni ya Marekani
Baada ya hapo akapendekeza kuwa angetaka kununua Wikipedia na baada ya kununua angeita Dickpedia
Dick kwa lugha ya kihuni Marekani ni sehemu ya siri ya mwanaume
Kubwa kuliko Grok AI aliyounda ameipa uwezo wa kuvua Wanawake nguo jambo ambalo limeibua kesi kubwa ulimwenguni kwa sasa
Mwanamke mmoja ameiambia BBC kwamba alihisi "amedharauliwa na kuingizwa kwenye dhana potofu ya kingono" baada ya Grok ya Elon Musk kuvua nguo zake kidijitali
BBC imeona mifano kadhaa kwenye jukwaa la mitandao ya kijamii X ya watu wanaoiomba Grok kuwavua nguo wanawake ili waonekane wakiwa wamevaa bikini bila idhini yao, pamoja na kuwaweka katika hali za ngono
Grok Ref: Woman felt 'dehumanised' after Musk's Grok AI used to digitally remove her clothes
X Ref: Elon Musk’s Pornography Machine