MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,752
- 5,497
Majambazi wanatetewa tayari katika mfumo wa utawala wa sheria.Katika ulimwengu wa Wanaomuamini Mungu na Makatazo yake, Dawa ya Dhambi ni kukemewa na kuachwa(Tubu) hakuna option ya kuivumilia. Ni 1988 taasisi ya wapenzi wa (jinsia moja ilianziswa japo inaonekana vuguvugu lilianza zamani ) USA lakini spidi ya hii taasisi inavunja hadi milango ya Nyumba za sala na kukubalika au kutetewa na makanisa,makampuni,taasisi, mataifa etc. Hakuna Taasisi Duniani inayosaidia kupunguza vuguvugu hili zaidi dunia nzima inasalimu amri taratibu ila kwa uhakika.
Ni majuzi tu kijana mmoja wa Nigeria alifungiwa Account yake ya Facebook kwa kosa la kuukosoa ushoga na kutoa Hisia zake juu ya huu mwelekeo wa maisha(Ikumbukwe mwanzilishi mmoja wa mtandao huu ni mwanandoa wa jinsia moja).
Najiuliza, Hivi ni rahisi kuhalalisha uovu kwa kutengeneza Jumuia/Taasisi. Mfano kumbe hata majambazi/wakifanikiwa kutengeneza jumuia yao na wakawa na msemaji wao duniani hata makanisa/mataifa/jamii yatahalalisha au yatasema wavumiliwe.
najaribu kutafakari...
SOMA CONTENTS,Majambazi wanatetewa tayari katika mfumo wa utawala wa sheria.
Ndiyo maana kuna mawakili kuhakikisha majambazi wanapata haki zao.
Wewe umelala chini ya dongo gani?
Unahakikishaje kwamba sijasoma?SOMA CONTENTS,
Hegelian dialectics....kwenye huu uzi naona tayari kuna pande mbili zinazosigana
uko sahihi, watakuwa na taasisi yao ulimwenguni piaUnahakikishaje kwamba sijasoma?
Unaonekana hujui kwamba majambazi tayari wanatetewa.
pande gani mkuu, watu wanaeleza hisia zao. wako sahihi...kwenye huu uzi naona tayari kuna pande mbili zinazosigana
Mkuu unaambiwa siku hizi kinachopandwa kwenye changalawe huota haraka kuliko kile kinachopandwa kwenye udongo. Siku hizi Uovu unapata support kubwa kila kona ya dunia.
Dini haina uhusiano na haya chief.Ndio maana sina Dini
Yuko hatua za mwishomwisho, ndio maana anaspeed kali ya mashambulizi kuliko washambuliwajishetani kaamua atawale na shetani anajua Mungu aliumba mwanamke na mwanaume ili watengeneze family. Mungu anataka familia takatifu na watt walelewe kwa familia. ila shetani katuingilia kahakikisha kwamba vitendo viovu kama ndoa za wenza wengi, jinsia moja, mtu anaamua ktafuta watt bila baba, kuvuruga ndoa za watu yote hayo ni kazi shetani na anafurahiankweli coz anaanza kupata ushindi siku hizi ndoa si za maana tena angalia idadi ya fatherless childrenn inavyoanza kuongezrka angalia kila mtu anaona heri awe nyumba ndogo ili atunzwe kulko aolewe. shetani katuvuruga kweli kweli na siku ya hukumu atakaa pembeni akitucheka wafuasi wake.
Unahakikishaje kwamba sijasoma?
Unaonekana hujui kwamba majambazi tayari wanatetewa.
hongera mkuu ungana na huyu jamaa siku hizi mwenzio anaabudu jua maisha yanakwenda hahaha MFALME SULEIMANNdio maana sina Dini