Dada anampenda rafiki yangu, siwezi kumuoa maana najua upendo wake kwa rafiki yangu hauishi hata wakiachana vipi, unataka nimegewe?
Dada anampenda rafiki yangu, siwezi kumuoa maana najua upendo wake kwa rafiki yangu hauishi hata wakiachana vipi, unataka nimegewe?
Chamsingi onya hiyo rafiki ako aache umalaya pori!hapo utakua umemsaidia huyo shemejiyo kpenz,ambaye hana hatia.tafakari...chukua hatua
kwani unategemea kumuoa msichana ambaye hajamegwa??
Muoe wewe
Malaya ni Malaya tu hawezi kumsikiliza na amekwisha Sema rafiki yake hasikii! Mtendee haki dada wa watu mwambie ukweli atakuja kumuua bure na ushamba wake wa wanawake!
sasa wewe unataka ushauri gani jf kumuoa hutaki/kumwambia dada ukweli hutaki????
act like man bhana wanaume wanakuwa na misimamo na maamuzi sio kulalamika lalamika
Kweli kwenye miti hakuna wajenziHayanihusu moja kwa moja ila inaniuma kwa kweli. Nina rafiki yangu ana girlfriend wake ambae dada huyo anampenda sana rafiki yangu na anafanya kila analoweza kumfurahisha jamaa. Rafiki yangu ni kicheche ana wasichana wasiohesabika anabadili kila leo japo anampenda huyu mdada kuliko wanawake wake wote. Huyu mdada she is wife material kabisa kimuonekano hata kitabia, natamani rafiki yangu amuoe lakini kwa upande wa pili tabia za jamaa naona either atakuja kumuumiza mdada akijua jamaa kicheche au atamuambukiza STD's. Naumia sana nikiwaza maisha ya mdada baadae. Sina la kufanya maana rafiki hashauriki. Wana MMU nimsaidiaje mdada
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi
Kama vipi muharibie sio anachukulia poaSana hapa nachat na mshkaji nimeamua nimchane kwa kweli, akiendeleza michepuko namuharibia
Kama vipi muharibie sio anachukulia poa
Namuheshimu na kumkubali sana
Hapo umeongea, endelea kumsikiliziaNgoja nimpe time ya kujirekebisha
Ngoja nimpe time ya kujirekebisha
Hivi wanaume ma-player (kama we ni bazazi mstaafu au still in action em pitia hapa ujibu) wanatuliaga at some point in their life kweli??unakuta tyr jamaa ashakuwa na wanawake zaidi ya 100 na anakuambia wazi,ataridhika na mimi tu kwelii??ama once a player always a player??