Inaniuma sana

Inaniuma sana

Hivi wanaume ma-player (kama we ni bazazi mstaafu au still in action em pitia hapa ujibu) wanatuliaga at some point in their life kweli??unakuta tyr jamaa ashakuwa na wanawake zaidi ya 100 na anakuambia wazi,ataridhika na mimi tu kwelii??ama once a player always a player??

Ungeanza jibu wewe kwa niaba ya wadada mcharuko
 
Back
Top Bottom