inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

mimi nategemea labda inamtokea mtu aliye single au ambaye hajado siku nyingii sana kumbe hata wanaodo
 
Watu8 mimi ni mtu mzima tu kwani vipi

Aina ya threads uziwekazo hapa MMU yanipa mashaka kidogo kuamini kuwa u "mwanamke mtu mzima tu"...

Inaonekana unapenda sana soga wewe na habari nyepesi nyepesi...

1: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/529641-eti-jina-lake.html
Nipo hapa sasa kuna shosti ananichekesha anasema eti yeye ameolewa kama miaka 4 iliyopita lkn anasema mume wake hajawai kutaja jina lake (mkewe) hata siku moja ni mama naniii ndo imetawala.....

2: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/529071-kwani-kuna-ubaya-gani.html
kwani kuna ubaya gani kumwomba mwenzako yaani mumeo muende likizo kidogo ya kugegendana kwa mda angalau tu mwezi mmoja

3: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/528214-wanawake-wenzangu-mnaonaje-hili.html
unahousegl ukimpa maelekezo pika mboga ya majani hapiki unakuta maharage tu ukimuuliza baadae anakuambia amesahau, anapiga watoto na kuwasukuma hawezi kuvumilia mtoto sekunde akimwita mtoto akavae au kuoga akitembea taratibu anashika kichwa anasukuma hilo nimelishuhudia anakuja mtu wa 2 analalamika hivyo hivyo anakuja wa 3 analalamika kwamba huyu dada watoto hawawez atawaumiza..........je imekaaje hii

4: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/535795-bibi-muokota-makopo.html
habari za mchana wana jamii hili ni angalizo tu kwa wale wenye watoto kwanza watoto wasizoee kufungulia watu milango.............kuna rafiki wa rafiki yangu yeye anasema mtaani kwao kuna bibi anaokotaga makopo na chupa kwenye mtaa wao sasa juzi kati hapa bibi akapita akamuita mtoto wake wa miaka 3 mtoto kwasababu anamuonaga bibi anapita kila siku akaenda kumfwata bibi jalalani mtoto alivyorudi nyumbani amekatwa hapa mbele ya ulimi anasimulia bibi akata hapa anaonyesha sehemu aliyokatwa mtoto kupewa chakula anatapika leo ni siku ya pili mtoto anatapika kila anachopewa na anakohoa mama mtu akaamua kwenda kwa bibi kumuuliza amefika kwake kaambiwa bibi kasafiri toka jana mama mtu saiz amechanganyikiwa tu hajui cha kufanya na mtoto ndo hivyo anakohoa na kutapika kila anachopewa anakitapika
 
Mpe dozi ya maana uone kama bado atajimwagia peke.yake
 
We Zipuwawa una maana gani sioni connection na swali langu

We mwenyewe umezidi na mada zako za majungu? Lakini connection ipo hapo mwanaume kama huyo hawezi kamwe kukutwa na hayo mambo......kama unawaza uzinzi lazima asubuhi ujikute umeleowana
 
kama mmepeana majamboz vya kutosha kabsa co rahc kidume ujikojolee tena ucku unless una pepo la ngono
 
utakuta mwanaume yuko kwenye ndoa na labda amekutana na mwenzake jana lakini kesho usiku akiwa usingizini anajimwagia (kukosa neno la kutumia) kwenye pajama yake hii inatokeaje inamaana huyu mtu anakuwa haridhiki au ni vipi hii siielewi

Melisafilbert Mwanaume na Mwanamke ni viumbe viwili tofauti sana hasa katika mambo ya Ngono au mihemko. Nipo kwenye ndoa sijui wewe, utakuta nna hamu ya raundi mbili mwenzio anataka moja anasema kachoka, unaomba favourite position yako mwenzio anasisitiza kachoka anaomba ukojoe haraka apumzike. Mwanaume rijali hata umpe goli tatu sasa hivi lkn 1hr later atatamani tena na atapiga bao vile vile! Angalieni sana wanawake katika hili na ndio maana unashangaa jamaa anapiga bao ingawa jana yake ulimpa game. Huenda hakuridhika, au hakumaliza hamu yake na tunakuwa na ndoto za ajabu vichwani mwetu na story/mafundisho ya vijiweni tunakokutana kupiga story. Hata humu JF nadhani ushasoma watu wakishauriana kunywa valeur, konyagi na vinginevyo ilimradi kumpa nguvu/Ashki mwanaume. Halafu Melisa mie nikilala na mke wangu kwa jinsi anavyonivutia basi lzm nimchokoze chokoze kwa kumpapasa papasa km utani zikimpanda atanipa lkn km kachoka atalala zake, mie tayari nakuwa nna ka hamu flani ingawa as time goes on mzee atalala na mie usingizi utakuja so waweza pata ndoto mkiendelea na majamboz na ukapiga bao usingizini( ingawa km ni mara kwa mara yaweza kuwa una spiritual wife na ukahitaji maombi)Hiyo ndo nguvu ya MWANAUME!!!
 
Last edited by a moderator:
Shkamoo watu8. Ntakuongeza mtu mmoja muwe watu9 kwenye bodaboda moja.

Yaani mpwa haka kabinti kila kakipata umbea kanakimbilia huku kuja kutunajisi...
 
Last edited by a moderator:
Mhh kama uliambiwa hvyo basi unadanganyagwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Halafu binti melisa itakua umeanza kufanya juzijuzi tu maana muda wootee unauwaza mpini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mtu kujikojolea haitokani na yeye kulizika au laa.unayompa ww ni mapenzi ya mwili na kujikojolea ni mapenzi ya hakiri zaidi na njozii(ndoto),huyo bwana hua anakumbuka alichokifanya na ww kupitia hakiri/jonzi anakojoa tena.ushauri wangu ni wewe kufanya nae tena kati ya saa tisa na saa kumi na moja asubuh cz mchana hawezi kupata nafasi ya kulala na kukumbuka
 
Wengine wanafanya na majini mahaba wakiwa wamelala so wanajikuta wamechafuka.
 
Back
Top Bottom