melisafilbert
Member
- Sep 3, 2013
- 67
- 9
kwani kuna ubaya gani kumwomba mwenzako yaani mumeo muende likizo kidogo ya kugegendana kwa mda angalau tu mwezi mmoja
Cjaelewa !! muende likizo pamojaa mbadilishe mazingira au wewe kurudi kwenu huo mwezi mmoja?
kwani kuna ubaya gani kumwomba mwenzako yaani mumeo muende likizo kidogo ya kugegendana kwa mda angalau tu mwezi mmoja
hahaa usijifanye hujaelewa!!!!!!hakuna kugegedana........mwezi mmoja......
mnapeana nafasi!!!!!!!
Khaaa! Mkagegedane mwenzi mzima out of home!
Iyo likizo ni ya kikazi!
Teh! teh! teh!
Waweza kufanya hivyo????