inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

inakuwaje mwanaume anapatwa na hili

Yaani mpwa haka kabinti kila kakipata umbea kanakimbilia huku kuja kutunajisi...

Anayesababisha haya yote ni huyo kikojozi wa mashukani!!!!!!!

Angekuwa anafanya kazi yake murua wala kasingehaika huku
 
Anayesababisha haya yote ni huyo kikojozi wa mashukani!!!!!!!

Angekuwa anafanya kazi yake murua wala kasingehaika huku

Sasa huyu bi dada anacholalama ni kipi, maana kama haki yake ya ndoa anapewa na kuridhika.

Huyo mwanaume sio kwamba anatoa manii kwa njia ya punyeto bali yanamtoka akiwa ndotoni.

Sote tunajua hakuna mwanadamu anayeweza kucontrol ndoto, ni kitendo ambacho kipo nje ya utashi.

Kwa akili ya huyu bibiye tarajia siku moja mumewe akimwambia kuwa ameota ndoto wamejenga nyumba nzuri au mume kaokota maburungutu ya pesa...atakuja hapa jukwaani na kulalama mumewe kamdhulumu pesa au mjengo aliouota.
 
ni hali ya kawaida sana nilichunguza nikagundua dozi huwa zinakosewa mtu kama huyo hapati dozi ya alfajiri!
NB:unatakiwa uwe na dozi mbili moja saa nne na nyingine alfajiri halafu unakwenda kazini....!
very true.. na bibie kama ana pumzi amuongezee moja tena ya saa tisa... yaani saa nne, saa tisa na saa kumi na moja ama kumi na mbili.
 
utakuta mwanaume yuko kwenye ndoa na labda amekutana na mwenzake jana lakini kesho usiku akiwa usingizini anajimwagia (kukosa neno la kutumia) kwenye pajama yake hii inatokeaje inamaana huyu mtu anakuwa haridhiki au ni vipi hii siielewi

Mkuu ngoja niende jf doctors nikaulize swali hili, na mimi pia nataka kufahamu tatizo ni nini hasa
 
Zipuwawa na watu8 basi msijali nashukuru kuniita mtoto ndo tunajifunza humu humu lkn mimi najua kama mtu hupendi topic ya mtu unaiacha sio lazima uchangie watachangia wale wanaoona inafaa, toka niingie humu nimeona watu wapo huru kuuliza lolote au kuomba ushauri kwa lolote lile ambalo wamekuwa wakijiuliza pia unapoouliza watu tofauti wanaume kwa wanawake ni rahisi kufahamu utofauti wa kitu chochote kuliko unavyoweza kupata majibu yako mwenyewe kichwani kwako kila mtu na akili yake na akili ni nywele kila mtu anazake
 
Back
Top Bottom