inakuwaje kuhusu IpTV

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Habari wanajamvi
Nataka kujua kuhusu hii kitu inayoitwa IPTV. Nimepata kusikia waweza kuangalia tv online kupitia IPTV kwa kutumia simu, PC au hata smart TV.

Nimejaribu kugoogle na kutaka kujaribu IPTV kwa kutumia PC lakini nimekosa software nzuri itakayoniwezesha kuona hicho kinachoelezwa kwamba naweza kuona TV mbalimbali kupitia IPTV. Sasa wadau naomba msaada wa maelezo na software kwa ajili ya kutumia.

IPTV katika PC.

Ahsante.
 
Kaka kwenye pc kuna software zinazotransform computer kuwa muonekano wa tv ili uweze kuicontrol na remote, ninavyofahamu software hizi zinasuport iptv

Maarufu sana inaitwa kodi, google kodi halafu idownload then google tena free iptv chanell kodi.

 
Nimesha install kodi tayari,
panapo nichanganya ni hapo free iptv chanell kodi.
nahitaji maelezo rahisi na yenye kueleweka zaidi
 
Nimesha install kodi tayari,
panapo nichanganya ni hapo free iptv chanell kodi.
nahitaji maelezo rahisi na yenye kueleweka zaidi

kwa kuanzia kaka, nenda video, kwa chini utaona add-ons click hapo then nenda chini chagua watch mojo, itadownload ikimaliza iplay uangalie top 10 za vitu mbali mbali. ukiweza jaribu tv za kawaida kama aljazeera hapo hapo ukiweza tena tutaenda deep nikuoneshe jinsi ya kuangalia premium tv zote,
 
Nimesha install kodi tayari,
panapo nichanganya ni hapo free iptv chanell kodi.
nahitaji maelezo rahisi na yenye kueleweka zaidi

mkuu Njunwa Wamavoko toa elimu mkuu.


Hellow Ndugu

Kodi configuration ni rahisi sana nilikua nawaza kuandaa tutorial yake ila majukumu yakanikaba over the weekend
Ili uweze kufaidi Kodi unaitaji Internet walau inayoweza ku peak up to 3-5Mbps kwenye Non premium contents hapa naongelea zile free addons

Free Addon yenye Contents za Mpira,Movies,music ni Phoenix TV Ukifata hii tutorial niloweka by the moment una install package za fusion utakua tayari unaweza kutazama TV bure za Online

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…