Mi nakutaja...... Katibu awe Utafiti
He! kumbe na ww wale wale wa hazina!!! hazina tutamchagua mwishoni
sawa, basi mimi sipendi mambo ya kugombea au kuchaguliwa....Sio chama mkuu, nadhani anamaanisha Jukwaa hili
aafuu we mzuri sana bana...wenyewe siku hizi wamehamia digitali, vibastola tu..... Na wale wa analogia yakujinyonga wanataka hamia hiyo
hapana sina vipi una mpango wa kuniazima?Washa washa una camera ww.....? c hatutaki za cm