Inakuhusu hapa..

Inakuhusu hapa..

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
1424506_224985551011587_232296658_n.jpg
 
Kutoka kidole puani hadi kwenye touch screen
 
Hhahahahahah new generation na mambo mapya....huyo wa 90's anashangaa shangaa tu
 
Ha ha haaa umenikumbusha 'ukoko wa kamasi' daaah ukubwa tunakosa mengi!
 
hahahaaa...mkuu u made my day nimecheka mpaka basi....hata ukubwani unaruhusiwa kula ukoko..

Sure it happens wakati tukitafakari ''mambo magumu'' unajikuta ushajichovya kidole puani na kuonja ha ha haaaa...alafu ukijishtukia unazungusha shingo kuangalia kama kuna mdau aliyenote!
 
Sure it happens wakati tukitafakari ''mambo magumu'' unajikuta ushajichovya kidole puani na kuonja ha ha haaaa...alafu ukijishtukia unazungusha shingo kuangalia kama kuna mdau aliyenote!
Tena hiyo ya kidole ndo baabkubwa,si unajua umri huu huwezi acha kamasi litiririke hadi mdomoni ndo ulilambe....una-apply hiyo kiaina
 
Hicho kidole kikitoka puani kinahamia mdomoni, si unajua kale kautamu ka kamasi la utotoni
 
Back
Top Bottom