Wewe kijana usije kuthubutu kuzaa na mwanamke nje ya ndoa, mimi nimefanya kosa hilo nayaona madhala yake wazi wazi na yataendelea kunitafuna kwa muda mrefu tu ujao, msidanganyane kabisa kama kuzaa na mtu ndio solution ya kuishi wote, na huu ni ushauri nautoa kwa pande zote mbili, kike/ kiume.Kwanini hukumvimbisha fasta kabla hajakimbia.take care next time....
.........Pole sana, kuna jamaa yangu naye kakimbiwa na mke wa ndoa. Tena walikuwa na watoto watatu, mke kachukua watoto kapeleka kijijini kwa wakwe na kumkimbia mume. Mume akaamua kupeleka swala kanisani lakini mke hasikii la mtu na kashasema hamtaki tena. Sababu jamaa kafulia kutoka kwenye mboga saba hadi mboga moja.........kutoka kukaa kwenye jumba la fahari hadi kwenye kibanda.
Maelezo ya hapo juu nilitaka kukuonyesha labda wewe una nafuu, umekimbiwa na GF na si mke na labda hata hujazaa naye. Hivyo umemjua mapema na waweza kumuepuka kabla hamkufika mbali.
<br />cha kufanya ni kuhakikisha unajikwamua kutoka kwenye hali uliyonayo. baada ya hapo ataelewa kua siku hazigandi, na maisha yanaendelea. huyo hakufai,bora kakuonesha mapemaa kuwa yuko kibiashara zaidi. pole sana,lakini akunyimae kunde...
Utawaweza???natafuta waliofulia
Utawaweza???