Inakuaje mtu anasema ridhiki badala ya riziki?

Watu wanaotamka ridhiki badala ya riziki wanakuwa na matatizo gani ya ulimi au ubongo?
Wanakua na Ugonjwa huku mtaani tunaita "Kithethe" nafkiri ni ulimi.

Jaribu kuongea ulimi ukiwa katikati ya meno ya juu na chini utaona Riziki unasema Ridhiki
 
Kithethe au kithembe?
Ila wenye kithembe huwa wanamatatizo na S sio Z, mfano sabuni, soda au samaki wao huwa wanatamka thabuni, thoda na thamaki.
 
Eka ulimi katikati ya meno tamka kitu chochote kinachoanziwa na Z Kama Zombie, zuzu, zebra etc utaona
 
Shida ni kumuelewa tuuh Wala hamna tatzo hapo
 
Back
Top Bottom