Inakera hii tabia sijui ni ya kisharobaro ya kuvaa earphone huku wanatembea njiani halafu ukija na gari kwa nyuma hata ukipiga honi vipi hawakusikii kwa sauti kubwa walizofungulia, siku zingine me ntakuwa nagonga tu sh....z zao!
wanaboa hao! Kuna wale pia wanaopigia mswaki nje na kutembea hadi dukani huku anaendelea kupiga mswaki, imagine anaongea ongea na watu njiani na kutematema mate hovyo! Hadi akarudi nyumbani ameshautafuna mswaki wote! Aaarghh
acha ujinga na kujisifu......nye ndo wale mnaowakanyagia watu maji machafu.Inakera hii tabia sijui ni ya kisharobaro ya kuvaa earphone huku wanatembea njiani halafu ukija na gari kwa nyuma hata ukipiga honi vipi hawakusikii kwa sauti kubwa walizofungulia, siku zingine me ntakuwa nagonga tu sh....z zao!