Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Hii tabia ya watu ku-stage matukio na kuyapa publicity ya hali juu kwa lengo kuhamisha attention ya watu kutoka kwenye matatizo ya msingi inakera sana maana hii ni sawa na kuwageuza watu wazima kama midoli (wanasesere)yaani unawachezea kadri unavyotaka.
Hatupingi hayo mnayoyafanya ila jaribuni ku-balance mambo kuna watu wanaumia.
Naongea haya kwasababu ya simu nilizopokea kuhusiana na hali ngumu wanayopitia rai fulani katika maeneo fulani huku vyombo vya habari vikiwasahau.