Taifa la wanasesere

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,323
152,136
Sio tu sisi ni kichwa cha mwendawazimu kama alivyowahi sema mzee ruksa bali ni nchi ya wanasesere kila mwenye umaarufu anaweza kutugeuza nchi nzima midoli na kutuchezea mithili ya mwanasesere.

Siku za nyuma niliwahi sema ila kwa yaliyojiri leo imenibidi niseme tena kwa kupanua wigo.

Inakera sana kugeuza watu wazima "wanasesere"

Ukweli huu unaweza kukuumiza lakini ni lazima usemwe.
 
Salary Slip umenifanya nisikitikie kuwa Mtanzania, tatizo la kunyimwa elimu
Nimefikia hatu ya kuhoji kama ni haki kuleta kiumbe wa Mungu katika hii nchi.

Unazaa na kuleta kiumbe wa Mungu katika nchi ya aina hii ili iweje kama sio kutomtendea haki kiumbe huyo?
 
Nimefikia hatu ya kuhoji kama ni haki kuleta kiumbe wa Mungu katika hii nchi.

Unazaa na kuleta kiumbe wa Mungu katika nchi ya aina hii ili iweje kama sio kutomtendea haki kiumbe huyo.

Unafanyaje ndugu yangu.Watawala wako kama wanafanya majaribio lab.Na CCM wameona ni sawa kuwapa watu ambao hata ukuu wa Tawi wasingeweza.

Kaka acha kabisa
 
Mkuu umeongea point.. Jiulize eti leo hii hata Ben Saanane tumemtupilia mbali tunajadili kwanza ya Wema na Makonda
 
Kwenye hili tulikosea sana kama taifa,hatufuati kanuni za kimaumbile,unajua ili ufike peponi Lazima kwanza ufe,ila taifa letu tunapenda kwenda peponi bila kufa,tunaruka kanuni muhimu sana
 
Back
Top Bottom