inahuuuuuuu!!!!!!

inahuuuuuuu!!!!!!

eti kisa kanunua yeye,kisanga chenyewe kama eti mtu anamiliki maybe tuseme simu au laptop mbili, moja akakupa kama rafiki,mchumba,mume au mke (mojawapo)ili utumie eti cjui kuna mtu anahitaji bila kujali unatumia hata hakutaarifu anakuja anachukua tu bila ya kukuomba samahani eti kisa ye ndo mwenye mali halafu anaenda kumpa mtu mwingine kweli huu ni ustaarabu!!!!!???

Ndo maana wahenga walisema KUNT KUNIFUKUNYUKU ALHATAR MAUTIN, yaani MTEGEMEA CHA MASKINI NDUGUYE ANGALI HUFA!!
 
dah, hiyo ni dharau square.. . hata kama ni cha kwake anatakiwa akutaarifu kama ambavyo wakati anakupatia alikueleza/alikwambia chukua hiki utumie. imagine awe navyo zaidi ya kimoja then we uchukue bila ruksa yake. si ndo patachimbika kisawasawa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom