inahuuuuuuu!!!!!!

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
eti kisa kanunua yeye,kisanga chenyewe kama eti mtu anamiliki maybe tuseme simu au laptop mbili, moja akakupa kama rafiki,mchumba,mume au mke (mojawapo)ili utumie eti cjui kuna mtu anahitaji bila kujali unatumia hata hakutaarifu anakuja anachukua tu bila ya kukuomba samahani eti kisa ye ndo mwenye mali halafu anaenda kumpa mtu mwingine kweli huu ni ustaarabu!!!!!???
 
Ki ukweli sio ustaarabu..... Mie ndio maana sipendagi vitu vya kupewa pewa, mwisho wa siku kuja kunyanyasika sitaki kabisa..!
 
Hii si tabia nzuri! Hapo ndio utaamini ule msemo unao sema chamtu.........................!
 
Only UNCIVILLIZED and ILLITERATE persons ndiyo wenye miondoko hiyo!
Ieleweke kwenda shule pekee hakutoshi kumfanya mtu kua mstaarabu! Ustaarabu unakusanywa na vitu vingi , including malezi bora , kutembea kwa maeneo mbalimbali ukasoma mienendo tofautitofauti ya watu wanavyoishi n. k .
 
Wadadaz na wakakaz pigeni kazi mmiliki vyenu. Get rich or die trying. Ni ukweli kuwa some people sometimes they take liberty of somebody's property just kwa kuwa ameaminiwa akaazimwa. Shame on them. This tabia should stop. Ova.
 
Back
Top Bottom