Inahuuuuu!!

wisenameM

Member
Jun 9, 2014
13
1
Shaka cna najua mko poa wana jf.... mada ni hvii... et inahusu mke kujua mshahara wa mumewe ni sh ngap
 
To me its not a big deal japokuwa huwa ananiambia ila hata asiponiambia pia sioni tatizo.
 
ni sawa mke kujua kipato cha mumewe na mume ni sawa kujua kipato cha mkewe unaongelea ndoa hapo si u boy friend & u girl friend
 
mshahara wenyewe unaisha hata kabla haujatoka...
Mikopo, salary slip inasoma negatiye. Unaficha nini.??!!??
 
Kama inahusu mke kujua mshahara wa mume, je, pia inahusu mume au mke kushika simu ya mwenzake?

Au mshahara unahusu lakini simu haihusu?

Haya mahusiano ya siku hizi ni pasua kichwa sana.
 
Kama inahusu mke kujua mshahara wa mume, je, pia inahusu mume au mke kushika simu ya mwenzake?

Au mshahara unahusu lakini simu haihusu?

Haya mahusiano ya siku hizi ni pasua kichwa sana.

Hapo kwenye simu mhusika anairukia kama anadaka kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom