Inahitajika Canter au Pick up ya kukodi Arusha town

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,420
Reaction score
5,488
Habari wakuu.

Nahitaji gari tajwa hapo juu kwa ajili ya kunisaidia kusafirisha vifaa vya hardware kutoka Ungalimited mpaka Moshi.

Pia naomba kufahamu kwa hapa Arusha wapi zinapatikana gari za kukodi au kama naweza kuunganishwa na madereva wa malori wanaokuwa wanatoka Arusha kuelekea Moshi .

Natanguliza shukrani.
 
Nenda soko kuu.. Huwa wanakaa pale kusubiri mzigo
 
Back
Top Bottom