Inahitajika (haraka)Fusi ya kukodishwa - Arusha

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,038
Reaction score
697
Kwema Wakuu

Nahitaji gari tajwa kwa ajili yakunibebea mahindi shambani. Kama unamjua mtu aliyenayo/anyefanya biashara ya kusafirisha mizigo hapa Arusha, tafadhali usisite kuniunganisha/kuwasiliana nami 0754-75-45-93

Moderator please edit the heading; Fusi to read Fuso

Shukrani
 
CC Mhariri
Moderator please edit the heading; Fusi to read Fuso
 
Nenda soko kuu,zipo zimepaki hapo,ongea nao
 
Back
Top Bottom