Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,123
1597951424340.png

Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
 
Kati ya Suzuki Swift, Toyota Passo, Toyota Vitz/Yaris, Honda Fit na Toyota Starlet. Ni baby walker gani ipo imara zaidi, inaweza kwenda masafa zaidi (considering kuwa hizi zote ni town cars). Sijaweka Toyota IST coz nahisi ipo juu ya hizi zote.
 
Hivi passo za zambia, congo, rwanda zile IT zinazoshukia bandarini dar huwa zinapelekwaje nchi zao?? huwa zinabebwa na malori au zinaendeshwa??? na je dar lubumbashi au kigali au lusaka ni chini ya km 200???

isijekuwa mtu kauziwa mkweche anatudanganya hapa
 
hivi passo za zambia, congo, rwanda zile IT zinazoshukia bandarini dar huwa zinapelekwaje nchi zao?? huwa zinabebwa na malori au zinaendeshwa??? na je dar lubumbashi au kigali au lusaka ni chini ya km 200???

isijekuwa mtu kauziwa mkweche anatudanganya hapa
Zinabebwa kwenye malori ya kubebea magari.
 
Back
Top Bottom