Jamaa tusiongelee ushabiki tuchangie hoja kwa points
KILA GARI INA CC ZAKE
mfavo VITZ zipo aina TATU za vits KIKUBWA ZAIDI NI ZINATOFAUTIANA CC
hata PASO ni ivo ivo na IST ni ivo ivo
Mimi nimetoka na PASSO dar
Nlitoka dar usiku saa4 mdogomdogo 10alfjr dom
Nikaamsha dom Saa1 asbh kukipambazuka hamna speed kwasbb ya tochi
1nanusu magharibi nikaingia mwanza
Tena bila tatizo bila gari kuchemka na kuanzia singida nlikua nakula AC hadi nzega
Sasa ukiwa umezoea kuendesha CRUSER 2300CC,long safari ukaja ukaendesha Passo 850CC long safari Mkuu hapo Passo unaeza hata ukaipasua injin
Kwasbb utataka speed kama ya Cruiser