nina simu yangu ina matatizo sana sijajua suluhisho lake kwanza ukiiwasha inawaka baada ya muda inazima,nilipeleka ikaflashiwa lakini bado inawaka na kuzima nikabadilisha betri bado tatizo ni lile lile ila nikiweka kwenye chaji na kuwasha na kuacha ivo ivo inafanya kazi ivi tatizo litakuwa ni nini watu wangu hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.