Inafaa kupunguza matumizi ya soda

KWI KWI

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
286
84
Risks Of Drinking Soda

  1. Soda has been known to comprise certain chemicals that make you feel dehydrated. This is the reason why, even after drinking lots of soda, you continue to feel thirsty.
  2. Every can of soda contains carbonic acid, which is a highly corrosive material. Hence, regular and frequent consumption of drinking soda can cause unimaginable damage to the human body.
  3. One of the prime side effects associated with the consumption of soda is that it is high in sugar content. This leads to the development of a number of health problems, like obesity and oral decay. Consumption of any form of aerated drink containing soda means that there is consumption of empty calories, which results in weight gain.
  4. There is high sugar content and too much fructose corn syrup in soda. Too much consumption of the drink can easily make you put on excessive weight.
  5. Soda does not have any nutritional value. Drinking it regularly means that you are just adding on empty calories.
  6. Excessive consumption of soda can result in high blood sugar, which can lead to faintness, rapid heart rate, and dehydration.
  7. Since soda contains too much sugar and acid, it can play havoc with your oral health. Not only does it dissolve the calcium out of tooth enamel, but can also cause a lot of cavities.
  8. Soda is also loaded with caffeine, which is a stimulant, the reason why it develops into an addiction soon. Consumption of excess of caffeine can cause irritability and restlessness.
  9. In case you are consuming soda from a can, you must be aware of the fact that aluminum has been found to be a contributing factor in Alzheimer’s disease, which is an incurable, degenerative and terminal mental condition.
  10. Caffeine removes calcium from our bodies. So, if you are drinking too much soda, you are also ingesting too much calcium, which ultimately will affect the strength of your bones.
  11. Irritability, restlessness, tension, insomnia, excitement and gastrointestinal disturbance are some other side effects of caffeine, which often result from high consumption of soda.
NB:TUNAPOTAKA UBORA WA AFYA ZETU,INAFAA KUPUNGUZA MATUMIZI YA SODA NA BADALA YAKE KUTUMIA VINYWAJI VYENYE VIRUTUBISHI MUHIMU KAMA VILE MAJI YA MATUNDA,MAZIWA,MADAFU AU AINA MBALIMBALI ZA MBOGA MFANO KAROTI.
 
Ebwana kweli, ahsante mkuu!
Kilasiku watu wananiambia kuwa soda sio nzuri ila sijawahi kupewa maelezo ya kisayansi kama haya.
Naanza kuchukua hatua sasa
 
Pia nilisikia(Sina uwakika na hili) kuwa Unjwaji wa soda una''negative'' impact katika vina saba....unazaa mtoto hafanani na wewe kabisa.
 
Nashukuru sana jamani, mimi nakunywa soda mpaka nachanganyikiwa. Watoto wangu nao wameniiga sasa ni hatari zaidi. Sasa kuanzia leo nafuta soda kwenye fridge nimeprint hii nimeibandika kwenye fridge, bahati nzuri hisi shule zimetusaidia watoto wanaelewa kiingereza ili nao wasome waogope na wasiniingize kwenye vishawishi vya kunywa soda.

Nilikuwa nasikia watu wanasema nikapuuzia. Asane kwa ushauri.

Jotokezeni wengi kutushauri.

God bless you brother!
 
Mkuu asante sana. Ila mi nakuja coke na pepsi ndo hatari zaidi
Mkuu wewe unajiumiza bila kujua...fanya experiment hii rahisi...chukua cocacola moja imwage chooni kwenye ma'sinki kama ni machafu sana,kisha iache kwa usiku mzima...kesho yake asubuhi nenda kaangalie/ukasafishe..utakuta uchafu wenyewe unatoka kama umemwagia tindikari.Sasa Imagine...inavyokufanya ikiingia mwilini.
 
mkuu wewe unajiumiza bila kujua...fanya experiment hii rahisi...chukua cocacola moja imwage chooni kwenye ma'sinki kama ni machafu sana,kisha iache kwa usiku mzima...kesho yake asubuhi nenda kaangalie/ukasafishe..utakuta uchafu wenyewe unatoka kama umemwagia tindikari.sasa imagine...inavyokufanya ikiingia mwilini.
mkuu nilipokuwa nipo karibu na wasabato walinipatia habari za cocacola nikaachana nayo kabisa,kwani nilishaachana na bia kwa somo la leo niachane na aina zote za soda sasa fanta kwa heri.
 
Mkuu wewe unajiumiza bila kujua...fanya experiment hii rahisi...chukua cocacola moja imwage chooni kwenye ma'sinki kama ni machafu sana,kisha iache kwa usiku mzima...kesho yake asubuhi nenda kaangalie/ukasafishe..utakuta uchafu wenyewe unatoka kama umemwagia tindikari.Sasa Imagine...inavyokufanya ikiingia mwilini.

Labda coke za zamani au kuna coke za aina fulani fulani kwani nilifanya hii experiment katika sink la choo changu, kilikuwa na madoa ambayo yalikuwa hayatoki, nikamwaga coke - asubuhi nikayakuta kama yalivyo tena yameongezeka na madoa ya coke yenyewe. madoa yale yaliondoka na harpic.
 
Ni kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa kwa kupenda vitamu kama soda, vya kwenye ma-box, vya kwenye makopo (nyama za kopo) n.k wa kadhaa tunasahau vya asili kama mihogo na ugali wa dona na michemsho.
 
Back
Top Bottom