Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,968
- 2,832
Na hii kutokana na tabia yake ya kunipeleleza sana
¹Novemba nilipata ka semina huko kibaha kwa hio nikawa nimeaga kwenda huko semina
Sasa nikiwa huko akampigia simu mzee wangu akiwa anaulizia kama nimefika huko Arusha wakati nilikuwa nawasiliana kila saa nikiwa huko kwenye semina lakini hakuniamini
²Juzi hapa kamfuata rafiki yangu akiwa na lengo tu la kunipeleleza na hizi habari nilizipata pia.
Nimejarbu sana kumuonya lakini imeshindikana
Kila nikimwangalia huruma hunijia maana hana kazi yoyote ya kumwezesha hata kula
Halafu ni mbishi sana!
Karibuni wadau kwa ushauri!
Sent using Jamii Forums mobile app