Inabidi numwache kwa tabia yake ya kunipeleleza

Inabidi numwache kwa tabia yake ya kunipeleleza

I remembered the day, I talk with my Mama on telephone. I told her, mama I will get marriage... I heard her voice from other side on a telephone phone ,she was smile... And she asked me a question that I was proud answered. "SHE'S SAID, SON DID YOU TOOK A TIME TO KNOW HER??".

Na wewe jiulize .
Usiandike kizungu tena ... Unajiaibisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bata ukimchunguza sana haumli/hutoweza kumla, ukiridhia kula bata basi muamini mchinjaji mpishi na muandaa meza kisha jiandae kumfaidi bata. Laah ukianza kuchunguza tangu anavyonyonyolewa hadi kupikwa utaishia kuona ana shombo ushindwe kumla....
 
Mwanamke haonewi Huruma Mkuu. Sema kingine lakini kama ni hicho cha huruma unapoteza muda.

Muache akuchunguze wewe ni mume wake.Anayohaki hiyo.
 
Mkipendwa taabu, msipopendwa pia taabu. Nini mnataka?
 
Na hii kutokana na tabia yake ya kunipeleleza sana
¹Novemba nilipata ka semina huko kibaha kwa hio nikawa nimeaga kwenda huko semina
Sasa nikiwa huko akampigia simu mzee wangu akiwa anaulizia kama nimefika huko Arusha wakati nilikuwa nawasiliana kila saa nikiwa huko kwenye semina lakini hakuniamini
²Juzi hapa kamfuata rafiki yangu akiwa na lengo tu la kunipeleleza na hizi habari nilizipata pia.
Nimejarbu sana kumuonya lakini imeshindikana
Kila nikimwangalia huruma hunijia maana hana kazi yoyote ya kumwezesha hata kula
Halafu ni mbishi sana!
Karibuni wadau kwa ushauri!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu i have a simple principal, i never date a lady who is JOBLESS period!yaani ni date binti ambaye kila kitu kwangu, kwanzia dresses, shoes, saloon, hata sanitary pads when she is on her period ni juu yangu NO WAY, it shows she is not a responsible lady. pengine awe tulipata akiwa na kazi bahati baya akapoteza kazi, hapo sawa na haitachukua muda mrefu bila mimi kumutafutia either kazi au nimuwekee bussiness, mkuu an indle mind is a devils workshop,,swali langu la kwanza kwa binti hata kabla ya kumwambia namupenda huwa ni hili , WHAT DO YOU DO FOR A LIVING,
 
Alikuwa na kazi sema Ofisi ikawa imezingua
Lakini she hard worker
Kazi mikono anafanya vizuri sana hata kilimo yuko poa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah RIP dube

Back
Top Bottom