Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,331
- 9,542
Serious,eti umuache kisa anakufatilia sana..Me nadhani yeye anakupenda zaidi ya unavyompenda wewe
Serious,eti umuache kisa anakufatilia sana..Me nadhani yeye anakupenda zaidi ya unavyompenda wewe
Mkuu amezidi mpaka keroSerious,eti umuache kisa anakufatilia sana..Me nadhani yeye anakupenda zaidi ya unavyompenda wewe
Then I said "MAMA SHE IS THE BEST"I remembered the day, I talk with my Mama on telephone. I told her, mama I will get marriage... I heard her voice from other side on a telephone phone ,she was smile... And she asked me a question that I was proud answered. "SHE'S SAID, SON DID YOU TOOK A TIME TO KNOW HER??".
Na wewe jiulize .
Mkuu usikute anasababu ya kufanya hivyo,kama kweli unampenda..mwoneshe sababu ya kukutrust.
Navyokwambia sina uhuru jioni saa mbili niwe nyumbani!Mkuu usikute anasababu ya kufanya hivyo,kama kweli unampenda..mwoneshe sababu ya kukutrust.
Kama unampenda kweli hiyo sababu yako si ya msingi kabisa
Safi sana,ndo inatakiwa hivyo.
Mkuu mi Ni mwanaume!Safi sana,ndo inatakiwa hivyo.
Yani girls mnaoneshwa attention hampendi,msipooneshwa hampendi.
Tuwafanyie nini??
Duuh,Sorry mkuu
Sasa mkuu nifanyeje BasiDuuh,Sorry mkuu
Hahaha mkuu wote hatupendi kufatiliwa,ila ndo isiwe sababu ya kumuacha,sema tu humkubali
Kwanza unampenda dhati??
Sasa mkuu hapo kosa lake lipi??
Nimekuelewa ngoja tuwasikilize na wengine!Sasa mkuu hapo kosa lake lipi??
Huyo anaupendo wa dhati kwako,ukimwacha ukakutuna na kina asha ngedere utajuta na kumkumbuka huyo,trust me