Ina maana JWTZ wamenywea kabisa?🤣

Ina maana JWTZ wamenywea kabisa?🤣

Tarehe 12 nataka kuona lile gwaride la kupasua matofali kwa kichwa na mazoezi ya kuokoa mateka.

Baada ya hapo wakalale polisi waendelee na doria.
Mtaishia kuleta kejeli za kitoto humu mtandaoni kwa nia ya kupunguza madonge na hasira.

Mlikuja na mkwara wa kuandamana tarehe 9D na 25D hata tarehe 1J hamjafanya lolote.

Tunataka kuishi kwa utulivu huu huu hatutaki upumbavu wa machafuko huko mtaani.
 
Hawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.

Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.

Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
Acha utani mkuu. Ungesema labda wako baa wanapiga mvinyo wa 600 hadi 800.

Na hii ndio sababu ilimfanya hata bosi wao apate nguvu ya kusema waandamanaji walitoka nje ya nchi kwani anajua fika kuwa mipaka iko wazi 24/7.
 
Hawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.

Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.

Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
Waliomba wenyewe hiyo kazi hakuna aliyeshurutishwa na wanalipwa mshahara kwa sisi walalaji tuliokuwa mashambani tukiwatafutia mshahara! Mbona sisi madaktari tunakesha na wagojwa wodini ambako kuambukizwa magonjwa na kufariki kabla ya mgonjwa mwenyewe hututetei? Kila mmoja awajibike sehemu aliyoichagua kupata riziki acha kututisha na mipaka kwani wengine humu wanepitia jeshini na hakunaga mwanajeshi anayekesha lindoni.
 
Mtaishia kuleta kejeli za kitoto humu mtandaoni kwa nia ya kupunguza madonge na hasira.

Mlikuja na mkwara wa kuandamana tarehe 9D na 25D hata tarehe 1J hamjafanya lolote.

Tunataka kuishi kwa utulivu huu huu hatutaki upumbavu wa machafuko huko mtaani.
Pumbavu wewe mwanajeshi kalale huko polisi wakulinde.
 
Hawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.

Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.

Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
Nani kakudanganya wanakesha mipakani?Labda useme wanakesha kwenye baa kugombania wanawake walevi wa baa
 
Shibe inadanganya watanzania wengi kama wewe, nenda kule mpakani uone shughuli wanayofanya kiasi cha huku mijini tunalala kwa amani.
 
Back
Top Bottom