Kama kweli huwa wanakesha basi ni wapumbavu, maana wanakesha for nothing.Ndio kazi wanayoifanya na lazima tuiheshimu sisi baadhi ambao tunajua wanachokifanya.
Wanakesha wao kwa ajili ya kukoroma kwetu usiku, lazima tuwaheshimu.
Hakuna wanacholinda labda kuwalinda nyie mafisadi muendelee kuitafuna nchi bila bugudha.
Kwa kitendo chao cha kuruhusu mauaji ya raia wasio na hatia tarehe 29/October-2 November 2025, hili unaloliita jeshi lina kila sababu ya kudharauliwa na wanainchi, maana halina faida yoyote kwetu sisi wanainchi zaidi ya kututia hasara tu kwa kulipwa kodi zetu.
Eti wanakesha wanalinda mipaka, haya ndani ya hiyo mipaka wanamlinda nani sasa? Kumanyoko zao waambie hivyo.