Ina maana JF majobless/wenye maisha magumu ni wa kiume tu?

Ina maana JF majobless/wenye maisha magumu ni wa kiume tu?

Mkuu hapana kusema kuwa wanawake lazima wajiuze ndiyo wapate pesa. Japo hayo yanafanyika tena sasa hivi hadi kwa wanaume wanajiuza tena ni wengi sana.

Humu kuna wadada wengi tu, wamejitokeza watu wawashike mkono, kwa kazi, vibarua. Cha mwisho kuna baadhi ya wanaume wanatumia ID za kike, ila akija kuomba kitu itabidi atumie ya kiume.
Hivi inakuje mtu anajifanya msichana naona ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom