Ina maana JF majobless/wenye maisha magumu ni wa kiume tu?

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,961
Reaction score
4,661
Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni wa kiume tu?,je hatuna majobless au wenye maisha magumu wa kike.Au wengi wamejiajiri kwenye sekta ile ya short time 10000,mpaka ahsubuhi elfu 50
 
Mwanaume ndiye binadamu halisi kwenye ulimwengu

Harakati zote za shida anapitia mwanaume

Vibarua wengi ni wanaume,

Magereza na mahabusu wateja ni wanaume.

Ni rahisi mwanamke kutamani kuwa mwanaume Lakini si mwanaume kutamani kuwa mwanamke.

Bar ,club na sehemu zote za starehe ni kwaajili ya mwanaume.

Mwanaume ndiye anapaswa kumridhisha mwenzake na si kinyume chake.

Vitabu vya dini vina manabii wanaume Tu mwanzo mwisho.

Mimi Jack Daniel sijawahi kukubali harakati zozote za mwanamke hata siku moja naishi kwenye falsafa za kizamani Kwanza siamini katika jinsia Ke
 
Mkuu naunga mkono falsafa yako,japo hujakiri au kukanusha uwepo wa majobless ya kike humu jf
 
Wapo tena wengi ila kila mtu anataka kuonekana ni matawi fulani
Zamani huko nilikuwa nikimuona mwanamke yoyote kapendeza nilikuwa najua matawi ila baadae nikaja baini unaweza muona mtu ka-shine nenda sasa kaone maisha yake huko anakoishi.Nadhani hii ndio ipo kwa wanawake wengi
 
Mkuu hapana kusema kuwa wanawake lazima wajiuze ndiyo wapate pesa. Japo hayo yanafanyika tena sasa hivi hadi kwa wanaume wanajiuza tena ni wengi sana.

Humu kuna wadada wengi tu, wamejitokeza watu wawashike mkono, kwa kazi, vibarua. Cha mwisho kuna baadhi ya wanaume wanatumia ID za kike, ila akija kuomba kitu itabidi atumie ya kiume.
 
Mwanaume ndiye binadamu halisi kwenye ulimwengu

Harakati zote za shida anapitia mwanaume

Vibarua wengi ni wanaume,

Magereza na mahabusu wateja ni wanaume.

Ni rahisi mwanamke kutamani kuwa mwanaume Lakini si mwanaume kutamani kuwa mwanamke.

Bar ,club na sehemu zote za starehe ni kwaajili ya mwanaume.

Mwanaume ndiye anapaswa kumridhisha mwenzake na si kinyume chake.

Vitabu vya dini vina manabii wanaume Tu mwanzo mwisho.

Mimi Jack Daniel sijawahi kukubali harakati zozote za mwanamke hata siku moja naishi kwenye falsafa za kizamani Kwanza siamini katika jinsia Ke

Ni rahisi mwanamke kutamani kuwa mwanaume Lakini si mwanaume kutamani kuwa mwanamke.
👆👆

unawazungumziaje mashoga? Ambao ni wengi kuliko matom boy?
Kuna wale wanaobadili jinsia zao kwa njia ya upasuaji wakiwa wamezaliwa wanaume na wakabadilika kuwa wanawake nao pia ni wengi vilevile,

Ni rahisi zaidi mwanaume kutamani kuwa mwanamke kuliko mwanamke kutamani kuwa mwanaume,
 
Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni wa kiume tu?,je hatuna majobless au wenye maisha magumu wa kike.Au wengi wamejiajiri kwenye sekta ile ya short time 10000,mpaka ahsubuhi elfu 50
wakike wakitikisa maashakumu tu wanapata kula
 
Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni wa kiume tu?,je hatuna majobless au wenye maisha magumu wa kike.Au wengi wamejiajiri kwenye sekta ile ya short time 10000,mpaka ahsubuhi elfu 50
Kwenye nchi ya kichawa na kirushwa, uwezekano wa warume kukosa kazi ni mkubwa. Kwani, hawana cha mwilini cha kutoa kwa waombaji na wala rushwa.
 
Ni kawaida humu JF kwa washikaji wasio na kazi kuomba connection mbalimbali za kazi wakati huohuo wakilalamika juu ya ugumu wa maisha unaotokana na kutokuwa na kazi,sijawahi kuona hawa wenzetu wa upande wa pili wakilalamika maisha magumu au kuomba connection za kazi.Ina maana majobless wa JF ni wa kiume tu?,je hatuna majobless au wenye maisha magumu wa kike.Au wengi wamejiajiri kwenye sekta ile ya short time 10000,mpaka ahsubuhi elfu 50
Mwanamke hata asipokuwa na kazi mapato anayoingiza kwa mwezi kwa "Uchumi wake alioukalia" unaweza ukawa sawa na mshara wa PC wa CCP.
 
Back
Top Bottom