Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Send her a private message! She is waiting. .i think am infertile how ever let me cum 2 marry u and we will prove the matter later on
Send her a private message! She is waiting. .i think am infertile how ever let me cum 2 marry u and we will prove the matter later on
Anataka kupigana vita vya majimajimm mwenyewe sijamuelewa huyu dada
Kasema hiviiiiiii.......mm mwenyewe sijamuelewa huyu dada
Sasa hivi mkuu yamakagashi anasoma namba za kigiriki...hahahhh mwambie ajitahidi wawili ili atimize team ya mpira na maisha haya magumu atazisoma mpk no za kichina



Alichosema nimekielewa sijamuelewa hapo kwa nn anataka mwanaume wa hivyo ili iwejeKasema hiviiiiiii.......
HahahahahhAnataka kupigana vita vya majimaji
Alooo wewe acha tu yaani nimeota upara kwa kukuna kichwa kila Siku na bibie asivyo na hiyana anataka kunipa wa kumiSasa hivi mkuu yamakagashi anasoma namba za kigiriki...![]()
Mpige two in one ajifungue mapacha kabisa...Alooo wewe acha tu yaani nimeota upara kwa kukuna kichwa kila Siku na bibie asivyo na hiyana anataka kunipa wa kumi



Ndio type yake tn ataenda kwanani. Lazma amtafute ndege anaefanana nae ili wapae pamojaMkishatoa mimba mkaona sasa hamzai mnaanza kutafuta wagumba wenzenu
Nina seti mbili ya mapacha ,wa kike walianza wakaja wakiume ,sasa hii seti ya tatu unayo nishauri mkuu hapana sitakuwa na uwezo wa kuwatunza hali ngumu sana siwezi kuwapa uji wa chumviMpige two in one ajifungue mapacha kabisa...![]()
Eeer! Kwanza Kakateni mirija mkuu...Nina seti mbili ya mapacha ,wa kike walianza wakaja wakiume ,sasa hii seti ya tatu unayo nishauri mkuu hapana sitakuwa na uwezo wa kuwatunza hali ngumu sana siwezi kuwapa uji wa chumvi




Eeer! Kwanza Kakateni mirija mkuu...
Ukiondoka unatuachia majirani mzigo tuu![]()



Kila mtoto anakuja na baraka zake usijali ,kati ya hawa 9 , 4 wanaweza kutoboa ,3 wakawa tegemezi na 2 wakawa ma padri mkuu hivyo hamna shida siku nikiondoka hamtopata tabuCECY SHIDA YAKO NI IPI? SIKU HIZI DUNIA IMEADVANCE KUNA SOLUTION YA KILA KITU MAMA .ONGEA TUKUPE USHAURIKua infertile haimaanishi tu kukosa mbegu za kiume! Kuna mengi yanasababisha.