Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Ha ha yawezekana kizazi hakuna



Hahaaaa! Safi sana naona mkeo mmemzalisha kama paka yaani! Watoto 9 ??




mkuu mhh nmecheka sanaa, sijui kama sijaamsha watu saa hii
But according to your BIO you are now 27 (1st of January 1990) otherwise I pray for youThis is to that man out there who is hesitant to enter into marriage because of the inability to contribute to conception. The man should be a christian and above 30 years of age, am a 26.
PS: No coitus before marriage.
If you do not qualify donnot MESSAGE me!
Waamshe tuu! Kusha kucha kitambo!mkuu mhh nmecheka sanaa, sijui kama sijaamsha watu saa hii



Haha....lazima waliamkaWaamshe tuu! Kusha kucha kitambo!![]()
Hahaaaa! Safi sana naona mkeo mmemzalisha kama paka yaani! Watoto 9 ??
Kama katabasamu hapo keshakupa wakumi sasa..
Kiroho safi mjomba ,mbantu asilia ,hapa nilikuwa namchombeza anipe wa kumi naona ananiangalia kwa aibu tu huku katabasamu
Hahaaaa! Safi sana naona mkeo mmemzalisha kama paka yaani! Watoto 9 ??
Ooh! Hii kitu hatare sana mkuuMkishatoa mimba mkaona sasa hamzai mnaanza kutafuta wagumba wenzenu
Shunie mbona unacheka ? Hahaa?hahahahh
hahahhh hivi upoje lakinMkishatoa mimba mkaona sasa hamzai mnaanza kutafuta wagumba wenzenu
hahahhh ww na yamakagashi mmenichekesha sanaShunie mbona unacheka ? Hahaa?
Hamna mwanamke mwenye uwezo wa kubeba mimba akatafuta mwanaume mgumbahahahhh hivi upoje lakin
Hahaa! Hii dunia ina vituko sana! Kuna uncle kamzalisha aunt watoto 9..hahahhh ww na yamakagashi mmenichekesha sana
mm mwenyewe sijamuelewa huyu dadaHamna mwanamke mwenye uwezo wa kubeba mimba akatafuta mwanaume mgumba
hahahhh mwambie ajitahidi wawili ili atimize team ya mpira na maisha haya magumu atazisoma mpk no za kichinaHahaa! Hii dunia ina vituko sana! Kuna uncle kamzalisha aunt watoto 9..
Sasa watoto 9 unafikiri mchezo?