In Mexico...kilichonileta nakitekeleza!!

In Mexico...kilichonileta nakitekeleza!!

Kumjua mbongo hapo in rahisi sana anagalia mwanamume aliyefanya kitu cha tofauti na wanaume wenzake ndo huyohuyo mwenzetu
 
Isije ikawa umeenda kubeba madawa ya kulevya ndugu yangu, maana huko ndio makao makuu, usije nayo hayo madawa huku tz
 
jamaa mwenye kofia nyeusi na t shirt nyeusi ndyo mleta mada ....jiongezeni
 
Mitaa flani huko vibaka siyo wa kuulizia maana ni wengi kama mchanga coco beach
 
Back
Top Bottom