Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,007
- 168,594
Guantanamera
kapewa kushika kameraMbona sikuoni kwenye picha mkuu......?
ungejibu tu labda tuseme sh milioni moja na elf hamsini ingependaza kuliko kuuliza tenaUnataka kuja?
Mpaka nijue nauli.Unataka kuja?
Hata namimi nimejua hivyokapewa kushika kamera
Kweli kabisa nimekuonaAngalia avatar pia nipo!!!
Gun shots every night,Crooked cops on sight,Everyday is a fight,Everyday somebody bleed.Aisee kuna balaa gani hapo!
Hah hah ha,we jamaa kidgo nitie aibu kwenye gar kwa kuchekaHiyo nyumba inayoning'inia huenda ni ya Bulicheka...Ngoja aje yule mfalme Huihui wa wagagagigikoko
Oh my that’s wonderful!
Mola awatangulie walahi