In love with two guys...advice please!

Hii kali
humpendi hata mmoja unawatamani waache watoto wa wenzako
kwanza unataka kuwatumia wote halafu unasema unawapenda sana
 
wafanyie usaili based on ur likeable attributes ....atakae pata points nyingi ameshinda! Otherwise mmoja awe plan A mwingine B kwa njia ya ana ana do...
 
Haiwezekani kupenda watu wawili kwa wakati mmoja na wote ukawapenda sawa kiasi cha kushindwa kuamua. Usiwapotezee muda vijana wa watu na uache sanaa. Penzi la kweli kamwe haligawanyiki.
Unajua tatizo lake anatudanganya sisi na mwishoni anaishia kujidanganya na yeye mwenyewe!
 
Hii kali
humpendi hata mmoja unawatamani waache watoto wa wenzako
kwanza unataka kuwatumia wote halafu unasema unawapenda sana
Nafikiri kuna watu hawajui kupenda ni nini? na kwa bahati mbaya saana huenda hawajawahi penda.WANATAMANI WANADHANI WAMEPENDA!
 
Mwana nakushauri uwaite wote gheto, then waeleze ukweli wako kwao, najua mmoja kati yao lazima awe mkali na ataondoka, atakaye baki ndo umlapatue, wakibaki wote basi inakubidi utumie wote.
 
Unajua tatizo lake anatudanganya sisi na mwishoni anaishia kujidanganya na yeye mwenyewe!

My dia hawezi kutudanganya sisi hata kidogo coz we can see right thru ha kwamba she doesn't even know what LOVE is.
 
Mmh! Mwenye maamuzi ni wewe, inaelekea hutaki kukubali ukweli wa moyo wako.
Mapenzi najua hayapo sawa, lazima kuna mmoja anakupenda zaidi au unampenda zaidi.
Pole kwa kuwa njia panda.
Ukishndwa kuchagua mmoja waache wote.
 
Haiwezekani ukawapenda wote wawili, tuliza akili kuna mmoja unaempenda!!
 
Take your time to know them better....you will make up your mind in less than two months! all the best....pray!
 
Take your time to know them better....you will make up your mind in less than two months! all the best....pray!
Sis i miss u so much plz find time to get in touch with me i will luk for u as well take care
 
habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!

Hakisawa hairuhusu kuolewa na watu wawili?
Kama sivyo then there are no equal rights,ningekua mimi ningechukua mmoja mwezi huu,after 4months nabeba na mwingine sijui kwa upande wako ikoje,....anza harakati
 
habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!

Ever heard of threesome?
 
Au unataka 2kuhalalishie nyumba ndogo? Naamin kabisa kuwa yupo unayempenda zaidi nawe unalijua hilo, hivo basi mchague huyo.
 
Crystal pole sana kwa mtihani mgumu. Una bahati kubwa sana. Nasema una bahati kwa sababu umebahatika kuwa na watu wawili ambao wote unawaona wanafaa kuwa nawe for the rest of your life. Wengine wanamtafuta mmoja tu wa kuwa naye kama mwenzi wao hawampati. Mshirikishe Mungu wako kwenye hili akusaidie kufanya uamuzi mzuri. Kila la heri.

http://www.youtube.com/watch?v=7j16uymohGQ&feature=related
 
Sidhani kama hao wa2 wanafanana kila ki2.kaa chini tafakari ni vi2 gani ungependa mpenzi wako awenavyo then decide who is the best.otherwise kama hukuwahi kupenda kabla(yaani unapenda kwa macho na si kwa hisia),itakuwa shida.
 
Back
Top Bottom