In Edward Lowassa, I trust...

Kweli kabisa Mkuu. Tanzania tunakuwa maskini kwa sababu ya Rushwa. Lowasa mla rushwa hafai hata kuwa mtendaji wa kijiji
 
Membe alishawahi kufanya maamuzi gani magumu?

Katika mahali patawadhalilisha nyie watetezi wa ccm huku mitandaoni ni hivyo vita vya mafisadi kutaka urais. Huwa mnatetea kila kitu kinachofanywa na ccm, kwamba ni chama kisafi. Lakini inapoletwa mada ya Lowassa, Membe, Mwigulu, Tibaijuka inawaacha uchi sana. Maana hapo ndio tunashuhudia siasa zenu za majitaka zilivyo za kiwango cha juu. Mnaachana uchi kwa machafu ya viongozi wenu huku mkitutaka watz tuwachague hao wanaopendwa rushwa, washirikina, wasiojua siasa za ushindani wa hoja bali wizi nk. Njaa ni kitu kibaya sana, kwani kwa hizi njaa zenu ndio mnaishia kuliangamiza taifa kwa kuwapigia debe viongozi wabovu na wakiingia madarakani wanaishia kuliingiza taifa kwenye mikataba mibovu na kuuza ardhi za wananchi.
 
In Edward Lowassa, I trust ... Yes... Me too... Chini ya Lowassa naamini Maendeleo yatawezekana kwa Watanzania!!! Yeye ni Mjeda mwenye cheo cha Colonel, ni Nguli wa Siasa, Mwenye Maamuzi bila kusita, ana maono ya Maendeleo... YES kwa Lowassa....
 
Tupe wa kwako ambao hawali rushwa!!! Huyo Sitta anapiga deals mpaka za vipaza sauti! Membe atuambie zile fedha za Ghadaffi ziko wapi plus change ya Radder!!! January atuambie lini makampuni ya simu yataanza kulipa kodi na kuwalinda walaji! Pinda atuambie alipata wapi fedha za matumizi ya BMK bila kuidhinishwa na Bunge! ... Hakuna msafi ndani ya CCM kwa sasa ... Tunamtaka Lowassa kwakuwa tunajua kuwa Richmond haimuhusu bali ilikuwa ni zao za safari ya JK USA na sasa wamebadili jina na kuitwa Symbion watu Kimyaa !!! .... Tunamhitaji Lowassa kuliko yeye anavyotuhitaji ... Hutaki acha ....
Kweli kabisa Mkuu. Tanzania tunakuwa maskini kwa sababu ya Rushwa. Lowasa mla rushwa hafai hata kuwa mtendaji wa kijiji
 

jiandae kisaikolojia
 
Mh ndg yangu, vipi na wewe umo kwenye lile kundi lake la kampeni za chini hcini alilowagawia milioni 200 mwezi September au? Maana nahisi kabisa kuna ka link kati yako na ka peni zake Mzee wangu Ngoyai.
 
Mwakani tunamchagua bwana Mamvi ili amalizie lile dili la mvua za elnino kutoka Thailand. Tumechoshwa na ukame bora mamvi awe rais mabwawa yajazwe na mvua za elnino ili umeme ufuliwe mwingi.
 
Tunataka mtu mwenye maamuzi magumu ya kujiuzulu kama bwana mamvi make jamaa akiwa rais anaweza kufanya maamuzi magumu ya kujiuzulu urais ndani ya miezi sita tu au miaka 2 ndani ya utawala wake.
 
Bwana Mamvi akiwa rais Tanzania itapata sifa kwa Afrika, kuwa rais wa kwanza kufanya maamuzi magumu ya kujiuzulu ndani ya mwaka mmoja.
 

Hapana itabidi apewe uwaziri mkuu tena ili ajisahihishe kwanza alipokosea na hapo tunamwihitaji kiongozi mwadilifu kama Mwigulu Nchemba
 
Bwana Mamvi akiwa rais Tanzania itapata sifa kwa Afrika, kuwa rais wa kwanza kufanya maamuzi magumu ya kujiuzulu ndani ya mwaka mmoja.

Kweli aisee yule Ukawa wakiandamana tu anaweza kujiuzulu
 
Nchemba Gaidi muuaji wa Mbwambo, Mvungi, Mwangosi na mtesaji wa Kibanda na Dr Ully... So far ameifanyia nini nchi hii? BTW kwanini usitumie ID yako kujipigia debe? ... Ukichaa ulionao sasa unatamaliaki kwenye brain yako ... soon utaanza kuokota vichungi vya sigara kama siyo mavi ya ng'ombe ...
Hapana itabidi apewe uwaziri mkuu tena ili ajisahihishe kwanza alipokosea na hapo tunamwihitaji kiongozi mwadilifu kama Mwigulu Nchemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…