What a clumsy family man!
jamani dunia inavituko mwee
You see Amavubi, clumsiness comes in all forms and for this man in question, his eagerness to impress on others he is a family man who shares the household chores with his wife,has been overridden by his ungainly posture. I am sorry to say that the man is not cut for family matters but military and political intrigues.To me the unfortunate photo is a proof that he is a square peg in a round hole.why shieka?
sema Mwigu ana vituko:llama:
Mie sijambo best wangu Amavubi. Nakutupia hapa familia yangu peanut size.Hiyo uliyoileta ina vituko kama asemavyo mdau hapo juu. Na avatar nimebadili kwa sababu naenda na wakati. Tusipoteze mda cheki familia yangu tulivyotumia staili ya upigaji picha ambayo ni tofauti sana na hiyo clumsiness niliyozungumzia.Shieka hujambo? tutupie famlia yako na wewe...naona umebadili avatar
