kuwa uyaone jamani,maajabu ya dar nyumba za vyuma zinajengwa ktk ya barabara, Dr.zero nakushukuru sana kwa kunitambua ujue yule mzee Baba V alinitoroka akaniacha kwenye mataa
laiti ungejua tumeshafunga njia zote za mawasiliano, njia za maji, njia za hewa, pamoja na njia za reli
imekula kwako na jinalo liko kwenye list nmecheki mtandaoni hapa unabisha!! sema Slave !!!!!