Gololi One
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 575
- 365
afu we Gololi One vitu vingi kwako ni ushamba eeh!
Kumbuka pete ni zaidi ya pesa, ni alama na ishara ya upendo wangu kwako. Kukuachia hiyo pete ina maana bado nakupenda kitu ambacho sio kweli. Tukiachana manake nachukua pete yangu. Vingine wala sina shida ya vingine..hata gari nakuachia lakini sio pete...alama ya upendo hiyo..!
Ndiyo kuna vitu vingine ushamba bwana. Yaani tuachane alafu uje udai pete, nakupa tu kama unaona pete dili. kwani unafikiri ukiniachia nitaivaa? Hata mimi sipendezewi kuvaa pete ya mchumba ambaye tumeachana.