In case uchumba unavunjika

In case uchumba unavunjika

kwantwe hujapita hapa?

Mada zenu hadi raha wallah!

Ivi ni shida kumind your bussines?
 
Nini kifanyike na Pete,

Wakaka: will you take the ring back?!

Wadada: will you keep the ring au utairudisha?!
Hapana lazima uchukue pete yako mimi ilitokea alinisaliti mbona nilichukua pete yangu,fikiria unafunga harusi na mtu mwingine halafu kwa nia ya kukuharibia akaja na kusema wewe ni mchumba wake na ushahidi ni pete yako si ataharibu sana.Hivyo uchumba ukivunjika chukua pete yako over
 
Naendelea kuvaa tu kama swaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom